Quran with Swahili translation - Surah Qaf ayat 24 - قٓ - Page - Juz 26
﴿أَلۡقِيَا فِي جَهَنَّمَ كُلَّ كَفَّارٍ عَنِيدٖ ﴾
[قٓ: 24]
﴿ألقيا في جهنم كل كفار عنيد﴾ [قٓ: 24]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Mwenyezi Mungu Aseme kuwaambia Malaika wawili: mwenye kuongoza na yule shahidi, baada ya kutolewa uamuzi baina ya viumbe, «Mtupeni ndani ya Jahanamu kila mwenye kukataa kuwa Mwenyezi Mungu Ndiye Mola wa haki, aliye mwingi wa ukafiri na ukanushaji, mwenye kuipinga haki |