Quran with Swahili translation - Surah Qaf ayat 26 - قٓ - Page - Juz 26
﴿ٱلَّذِي جَعَلَ مَعَ ٱللَّهِ إِلَٰهًا ءَاخَرَ فَأَلۡقِيَاهُ فِي ٱلۡعَذَابِ ٱلشَّدِيدِ ﴾ 
[قٓ: 26]
﴿الذي جعل مع الله إلها آخر فألقياه في العذاب الشديد﴾ [قٓ: 26]
| Abdullah Muhammad Abu Bakr aliyemshirikisha Mwenyezi Mungu kwa kukiabudu kiabudiwa kingine miongoni mwa viumbe Vyake pamoja na Yeye. Mtupeni ndani ya adhabu ya moto wa Jahanamu ulio mkali.» |