Quran with Swahili translation - Surah Qaf ayat 3 - قٓ - Page - Juz 26
﴿أَءِذَا مِتۡنَا وَكُنَّا تُرَابٗاۖ ذَٰلِكَ رَجۡعُۢ بَعِيدٞ ﴾
[قٓ: 3]
﴿أئذا متنا وكنا ترابا ذلك رجع بعيد﴾ [قٓ: 3]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Je, tunapokufa na tukawa mchanga, itawezekana vipi kurejea baada ya hapo tukawa kama tulivyokuwa? Hayo ni marajeo ambayo kutukia kwake kuko mbali.» |