Quran with Swahili translation - Surah Qaf ayat 4 - قٓ - Page - Juz 26
﴿قَدۡ عَلِمۡنَا مَا تَنقُصُ ٱلۡأَرۡضُ مِنۡهُمۡۖ وَعِندَنَا كِتَٰبٌ حَفِيظُۢ ﴾
[قٓ: 4]
﴿قد علمنا ما تنقص الأرض منهم وعندنا كتاب حفيظ﴾ [قٓ: 4]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika tunakijua kile ambacho ardhi kinakipunguza na kukimaliza katika miili yao, na tuna Kitabu kilichohifadhiwa kutokana na mageuzo na mabadiliko, kilichosajiliwa kila kitu kitakachowapitia katika maisha yao na baada ya kufa kwao |