Quran with Swahili translation - Surah Qaf ayat 35 - قٓ - Page - Juz 26
﴿لَهُم مَّا يَشَآءُونَ فِيهَا وَلَدَيۡنَا مَزِيدٞ ﴾
[قٓ: 35]
﴿لهم ما يشاءون فيها ولدينا مزيد﴾ [قٓ: 35]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Watapewa hawa Waumini ndani ya Pepo wanavyovitaka. Na tuna nyogeza za neema juu ya zile tulizowapa; kubwa zaidi la neema hizo ni kutazama uso wa Mwenyezi Mungu Aliyetukuka |