Quran with Swahili translation - Surah Qaf ayat 34 - قٓ - Page - Juz 26
﴿ٱدۡخُلُوهَا بِسَلَٰمٖۖ ذَٰلِكَ يَوۡمُ ٱلۡخُلُودِ ﴾
[قٓ: 34]
﴿ادخلوها بسلام ذلك يوم الخلود﴾ [قٓ: 34]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hapo waambiwe hao Waumini, «Ingieni Peponi kuingia kunakoshikamana na kusalimika na maafa na shari, hali ya kuhifadhiwa na mambo yote mnayoyachukia. Hiyo ndiyo Siku ya starehe za milele zisizokatika.» |