Quran with Swahili translation - Surah Qaf ayat 43 - قٓ - Page - Juz 26
﴿إِنَّا نَحۡنُ نُحۡيِۦ وَنُمِيتُ وَإِلَيۡنَا ٱلۡمَصِيرُ ﴾
[قٓ: 43]
﴿إنا نحن نحيي ونميت وإلينا المصير﴾ [قٓ: 43]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ni sisi tunaohuisha viumbe na kuwafisha duniani, na ni kwetu sisi ndipo mwisho wao wote watakapofikia Siku ya Kiyama ili wahesabiwe na walipwe |