Quran with Swahili translation - Surah Qaf ayat 5 - قٓ - Page - Juz 26
﴿بَلۡ كَذَّبُواْ بِٱلۡحَقِّ لَمَّا جَآءَهُمۡ فَهُمۡ فِيٓ أَمۡرٖ مَّرِيجٍ ﴾
[قٓ: 5]
﴿بل كذبوا بالحق لما جاءهم فهم في أمر مريج﴾ [قٓ: 5]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Bali hawa washirikina waliikanusha Qur’ani ilipowajia. Wao wako kwenye hali ya babaiko na kuchanganyikiwa, hawasimami imara kwenye jambo lolote, na hawana kituo cha kutulia |