Quran with Swahili translation - Surah Adh-Dhariyat ayat 29 - الذَّاريَات - Page - Juz 26
﴿فَأَقۡبَلَتِ ٱمۡرَأَتُهُۥ فِي صَرَّةٖ فَصَكَّتۡ وَجۡهَهَا وَقَالَتۡ عَجُوزٌ عَقِيمٞ ﴾
[الذَّاريَات: 29]
﴿فأقبلت امرأته في صرة فصكت وجهها وقالت عجوز عقيم﴾ [الذَّاريَات: 29]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Aliposikia mke wa Ibrāhīm maneno ya bishara ya hao Malaika, alielekea upande wao na ukelele, akajipiga uso wake kwa kulionea ajabu jambo hili na akasema, «Vipi nitazaa na mimi ni tasa sizai?» |