Quran with Swahili translation - Surah Adh-Dhariyat ayat 28 - الذَّاريَات - Page - Juz 26
﴿فَأَوۡجَسَ مِنۡهُمۡ خِيفَةٗۖ قَالُواْ لَا تَخَفۡۖ وَبَشَّرُوهُ بِغُلَٰمٍ عَلِيمٖ ﴾
[الذَّاريَات: 28]
﴿فأوجس منهم خيفة قالوا لا تخف وبشروه بغلام عليم﴾ [الذَّاريَات: 28]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Alipowaona hawali aliingiwa na kicho cha kuwaogopa, na hapo wakamwambia, «Usiogope! Sisi ni wajumbe wa Mwenyezi Mungu. Na wakampa bishara kwamba mkewe Sarah atamzalia mtoto atakayekuwa ni miongoni mwa watu wanaomjua Mwenyezi Mungu na kuijua Dini Yake, naye ni Isḥāq, amani imshukie |