Quran with Swahili translation - Surah AT-Tur ayat 22 - الطُّور - Page - Juz 27
﴿وَأَمۡدَدۡنَٰهُم بِفَٰكِهَةٖ وَلَحۡمٖ مِّمَّا يَشۡتَهُونَ ﴾
[الطُّور: 22]
﴿وأمددناهم بفاكهة ولحم مما يشتهون﴾ [الطُّور: 22]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na tutawaongezea, juu ya starehe hizo zilizotajwa, matunda na nyama miongoni mwa vitu vinavyopendwa na kutamaniwa |