×

Na ingojee hukumu ya Mola wako Mlezi. Kwani wewe hakika uko mbele 52:48 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah AT-Tur ⮕ (52:48) ayat 48 in Swahili

52:48 Surah AT-Tur ayat 48 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah AT-Tur ayat 48 - الطُّور - Page - Juz 27

﴿وَٱصۡبِرۡ لِحُكۡمِ رَبِّكَ فَإِنَّكَ بِأَعۡيُنِنَاۖ وَسَبِّحۡ بِحَمۡدِ رَبِّكَ حِينَ تَقُومُ ﴾
[الطُّور: 48]

Na ingojee hukumu ya Mola wako Mlezi. Kwani wewe hakika uko mbele ya macho yetu, na mtakase kwa kumsifu Mola wako Mlezi unapo simama

❮ Previous Next ❯

ترجمة: واصبر لحكم ربك فإنك بأعيننا وسبح بحمد ربك حين تقوم, باللغة السواحيلية

﴿واصبر لحكم ربك فإنك بأعيننا وسبح بحمد ربك حين تقوم﴾ [الطُّور: 48]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na uivumilie, ewe Mtume, hukumu ya Mola wako na amri Yake juu ujumbe Aliyokubebesha na juu ya makero yanayokupata kutoka kwa watu wako, hakika wewe uko kwenye maangalizi yetu, hifadhi na utunzi. Na umtakase Mola Wako kwa kumsifu unaposimama kuswali na unapoinuka kutoka usingizini
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek