Quran with Swahili translation - Surah An-Najm ayat 16 - النَّجم - Page - Juz 27
﴿إِذۡ يَغۡشَى ٱلسِّدۡرَةَ مَا يَغۡشَىٰ ﴾
[النَّجم: 16]
﴿إذ يغشى السدرة ما يغشى﴾ [النَّجم: 16]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Pindi huo Mkunazi ulipofinikwa kutokana na amri ya Mwenyezi Mungu na kitu kikubwa hakuna ajuaye sifa zake isipokuwa Mwenyezi Mungu, Aliyeshinda na kutukuka |