Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 12 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿وَفَجَّرۡنَا ٱلۡأَرۡضَ عُيُونٗا فَٱلۡتَقَى ٱلۡمَآءُ عَلَىٰٓ أَمۡرٖ قَدۡ قُدِرَ ﴾
[القَمَر: 12]
﴿وفجرنا الأرض عيونا فالتقى الماء على أمر قد قدر﴾ [القَمَر: 12]
Abdullah Muhammad Abu Bakr na tukapasua ardhi tukatoa chemchemi za maji yanayotoka kwa kasi, yakakutana maji ya mbinguni na maji ya ardhini kuwaangamiza wao kwa vile Alivyowakadiria mwenyezi Mungu, yakiwa ni malipo ya ushirikina wao |