Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 14 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿تَجۡرِي بِأَعۡيُنِنَا جَزَآءٗ لِّمَن كَانَ كُفِرَ ﴾
[القَمَر: 14]
﴿تجري بأعيننا جزاء لمن كان كفر﴾ [القَمَر: 14]
Abdullah Muhammad Abu Bakr ikawa inatembea kwa uangalizi wetu na utunzi, na tukawazamisha waliokanusha, ikiwa ni malipo yao kwa ukafiri wao na kwa kumnusuru Nūḥ, amani imshukie. Hapa pana dalili ya kuthibitisha sifa ya macho mawili kwa Mwenyezi Mungu, Aliyetakasika na kutukuka, kama inavyonasibiana na Yeye |