Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 42 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿كَذَّبُواْ بِـَٔايَٰتِنَا كُلِّهَا فَأَخَذۡنَٰهُمۡ أَخۡذَ عَزِيزٖ مُّقۡتَدِرٍ ﴾
[القَمَر: 42]
﴿كذبوا بآياتنا كلها فأخذناهم أخذ عزيز مقتدر﴾ [القَمَر: 42]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Walizikanusha dalili zetu zote zenye kutolea ushahidi upweke wetu na unabii wa Manabii wetu, tukawatesa kwa adhabu mateso ya Mshindi Asiyeshindwa, Mweza wa Analolitaka |