Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 43 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿أَكُفَّارُكُمۡ خَيۡرٞ مِّنۡ أُوْلَٰٓئِكُمۡ أَمۡ لَكُم بَرَآءَةٞ فِي ٱلزُّبُرِ ﴾
[القَمَر: 43]
﴿أكفاركم خير من أولئكم أم لكم براءة في الزبر﴾ [القَمَر: 43]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Je makafiri wenu, enyi mkusanyiko wa Makureshi, ni bora kuliko wale waliotangulia kutajwa miongoni mwa wale walioangamia kwa sababu ya kukanusha kwao? Au nyinyi mmeepushwa na mateso ya Mwenyezi Mungu kwa yaliyomo kwenye Vitabu vilivyoteremshwa kwa Mitume kwa kuwa mtasalimika na mateso |