Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 44 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿أَمۡ يَقُولُونَ نَحۡنُ جَمِيعٞ مُّنتَصِرٞ ﴾
[القَمَر: 44]
﴿أم يقولون نحن جميع منتصر﴾ [القَمَر: 44]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Au kwani wanasema makafiri wa Makkah, «Sisi ndio wenye ushupavu na busara, na jambo letu ni la pamoja. Sisi ni watu wa ushindi, na hatatushinda anayetutaka kwa ubaya.?» |