Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 52 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿وَكُلُّ شَيۡءٖ فَعَلُوهُ فِي ٱلزُّبُرِ ﴾
[القَمَر: 52]
﴿وكل شيء فعلوه في الزبر﴾ [القَمَر: 52]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kila kitu walichokifanya wale wanaofanana na nyinyi waliopita, cha kheri au cha shari, kimeandikwa kwenye Vitabu ambavyo Malaika watunzi wenye kudhibiti waliviandika |