Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 51 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿وَلَقَدۡ أَهۡلَكۡنَآ أَشۡيَاعَكُمۡ فَهَلۡ مِن مُّدَّكِرٖ ﴾
[القَمَر: 51]
﴿ولقد أهلكنا أشياعكم فهل من مدكر﴾ [القَمَر: 51]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kwa hakika tuliwaangamiza wale waliofanana na nyinyi katika ukafiri miongoni mwa ummah waliopita. Basi je, kuna mwenye kuwaidhika kwa mateso na adhabu |