Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 53 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿وَكُلُّ صَغِيرٖ وَكَبِيرٖ مُّسۡتَطَرٌ ﴾
[القَمَر: 53]
﴿وكل صغير وكبير مستطر﴾ [القَمَر: 53]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kila dogo au kubwa katika matendo yao limesajiliwa ndani ya madaftari yao, na watalipwa kwayo |