Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 7 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿خُشَّعًا أَبۡصَٰرُهُمۡ يَخۡرُجُونَ مِنَ ٱلۡأَجۡدَاثِ كَأَنَّهُمۡ جَرَادٞ مُّنتَشِرٞ ﴾
[القَمَر: 7]
﴿خشعا أبصارهم يخرجون من الأجداث كأنهم جراد منتشر﴾ [القَمَر: 7]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hali yakuwa macho yao yamedhalilika, wanatoka makaburini kama kwamba wao kwa kuenea kwao na upesi wa kuenda kwenye kuhesabiwa, ni nzige walioenea pambizoni mwa anga |