Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 6 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿فَتَوَلَّ عَنۡهُمۡۘ يَوۡمَ يَدۡعُ ٱلدَّاعِ إِلَىٰ شَيۡءٖ نُّكُرٍ ﴾
[القَمَر: 6]
﴿فتول عنهم يوم يدع الداع إلى شيء نكر﴾ [القَمَر: 6]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kwa hivyo, wapuuze, ewe Mtume, na uingojee Siku kubwa, Siku Malaika Atakapoita, kwa kuvuvia kwenye baragumu, kwenye jambo linalotisha linalochukiza, nalo ni Kisimamo cha Hesabu |