Quran with Swahili translation - Surah Ar-Rahman ayat 29 - الرَّحمٰن - Page - Juz 27
﴿يَسۡـَٔلُهُۥ مَن فِي ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِۚ كُلَّ يَوۡمٍ هُوَ فِي شَأۡنٖ ﴾
[الرَّحمٰن: 29]
﴿يسأله من في السموات والأرض كل يوم هو في شأن﴾ [الرَّحمٰن: 29]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wanamuomba Yeye walioko mbinguni na ardhini haja zao. Hakuna yoyote anayejitosheleza kutomhitajia Yeye, kutakasika ni Kwake. Kila siku Yeye Yuko kwenye jambo: Anatukuza na Anatweza, Anatoa na Anazuia |