Quran with Swahili translation - Surah Ar-Rahman ayat 54 - الرَّحمٰن - Page - Juz 27
﴿مُتَّكِـِٔينَ عَلَىٰ فُرُشِۭ بَطَآئِنُهَا مِنۡ إِسۡتَبۡرَقٖۚ وَجَنَى ٱلۡجَنَّتَيۡنِ دَانٖ ﴾
[الرَّحمٰن: 54]
﴿متكئين على فرش بطائنها من إستبرق وجنى الجنتين دان﴾ [الرَّحمٰن: 54]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wale wanaoogopa kusimama mbele ya Mola Wao watakuwa na mabustani mawili ya Pepo, ambayo ndani yake watastarehe, hali ya kutegemea juu ya matandiko yaliyojazwa dibaji nzito. Na matunda ya mabustani mawili hayo ya pepo yako karibu nao |