Quran with Swahili translation - Surah Ar-Rahman ayat 7 - الرَّحمٰن - Page - Juz 27
﴿وَٱلسَّمَآءَ رَفَعَهَا وَوَضَعَ ٱلۡمِيزَانَ ﴾
[الرَّحمٰن: 7]
﴿والسماء رفعها ووضع الميزان﴾ [الرَّحمٰن: 7]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na mbingu Ameiinua na kuifanya iwe juu ya ardhi, Na Ameweka kwenye ardhi uadilifu Aliouamrisha na kuulazimisha kwa waja Wake |