×

Lau kuwa tumeiteremsha hii Qur'ani juu ya mlima, basi bila ya shaka 59:21 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-hashr ⮕ (59:21) ayat 21 in Swahili

59:21 Surah Al-hashr ayat 21 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-hashr ayat 21 - الحَشر - Page - Juz 28

﴿لَوۡ أَنزَلۡنَا هَٰذَا ٱلۡقُرۡءَانَ عَلَىٰ جَبَلٖ لَّرَأَيۡتَهُۥ خَٰشِعٗا مُّتَصَدِّعٗا مِّنۡ خَشۡيَةِ ٱللَّهِۚ وَتِلۡكَ ٱلۡأَمۡثَٰلُ نَضۡرِبُهَا لِلنَّاسِ لَعَلَّهُمۡ يَتَفَكَّرُونَ ﴾
[الحَشر: 21]

Lau kuwa tumeiteremsha hii Qur'ani juu ya mlima, basi bila ya shaka ungeli uona ukinyenyekea, ukipasuka kwa khofu ya Mwenyezi Mungu. Na hiyo mifano tunawapigia watu ili wafikiri

❮ Previous Next ❯

ترجمة: لو أنـزلنا هذا القرآن على جبل لرأيته خاشعا متصدعا من خشية الله, باللغة السواحيلية

﴿لو أنـزلنا هذا القرآن على جبل لرأيته خاشعا متصدعا من خشية الله﴾ [الحَشر: 21]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Lau tungaliiteremsha hii Qur’ani juu ya jabali moja miongoni mwa majabali, na likaelewa yaliyo ndani yake ya ahadi ya malipo mema kwa watu wema na malipo mabaya kwa watu wabaya, ungaliliona, pamoja na nguvu zake, ugumu wake na ukuu wake, limenyenyekea, limejidhalilisha na limepasukapasuka kwa kumuogopa Mwenyezi Mungu Aliyetukuka. Na hiyo ni mifano tunawapigia watu na kuwabainishia, huenda wao wakafikiria juu ya uweza wa Mwenyezi Mungu na ukubwa Wake. Katika aya hii pana kuhimiza kuizingatia Qur’ani na kujifahamisha maana yake na kuitumia
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek