×

Na hakika Mitume walio kabla yako walifanyiwa kejeli, lakini walio wafanyia kejeli 6:10 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-An‘am ⮕ (6:10) ayat 10 in Swahili

6:10 Surah Al-An‘am ayat 10 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-An‘am ayat 10 - الأنعَام - Page - Juz 7

﴿وَلَقَدِ ٱسۡتُهۡزِئَ بِرُسُلٖ مِّن قَبۡلِكَ فَحَاقَ بِٱلَّذِينَ سَخِرُواْ مِنۡهُم مَّا كَانُواْ بِهِۦ يَسۡتَهۡزِءُونَ ﴾
[الأنعَام: 10]

Na hakika Mitume walio kabla yako walifanyiwa kejeli, lakini walio wafanyia kejeli wakaja kuzungukwa na yale yale waliyo kuwa wao wanayafanyia kejeli

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ولقد استهزئ برسل من قبلك فحاق بالذين سخروا منهم ما كانوا به, باللغة السواحيلية

﴿ولقد استهزئ برسل من قبلك فحاق بالذين سخروا منهم ما كانوا به﴾ [الأنعَام: 10]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na kwa kuwa kutaka kwao kuteremshwa Malaika kulikuwa ni kwa njia ya kumfanyia shere Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, Mwenyeyezi Mungu, Aliyetukuka, Aliwaelezea kwamba kuwafanyia shere Mitume, amani iwashukie, si jambo jipya; kwani jambo hilo lilitukia kwa makafiri waliopita kuwafanyia Mitume wao, wakazungukwa na adhabu ambayo walikuwa wakiifanyia shere na wakipinga kuja kwake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek