×

Hao watapata nyumba ya salama kwa Mola Mlezi wao. Naye ndiye Rafiki 6:127 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-An‘am ⮕ (6:127) ayat 127 in Swahili

6:127 Surah Al-An‘am ayat 127 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-An‘am ayat 127 - الأنعَام - Page - Juz 8

﴿۞ لَهُمۡ دَارُ ٱلسَّلَٰمِ عِندَ رَبِّهِمۡۖ وَهُوَ وَلِيُّهُم بِمَا كَانُواْ يَعۡمَلُونَ ﴾
[الأنعَام: 127]

Hao watapata nyumba ya salama kwa Mola Mlezi wao. Naye ndiye Rafiki Mlinzi wao kwa sababu ya waliyo kuwa wakiyatenda

❮ Previous Next ❯

ترجمة: لهم دار السلام عند ربهم وهو وليهم بما كانوا يعملون, باللغة السواحيلية

﴿لهم دار السلام عند ربهم وهو وليهم بما كانوا يعملون﴾ [الأنعَام: 127]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Wale wanaokumbuka watapata mbele ya Mola wao, Aliyetukuka na kuwa juu, Siku ya Kiyama Nyumba ya Salama na Amani, isiyo na makero, nayo ni Pepo. Na yeye, kutakasika na sifa za upungufu ni Kwake, ni Mwenye kuwanusuru na kuwalinda; hayo yakiwa ni malipo kwao kwa matendo yao mema
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek