Quran with Swahili translation - Surah Al-An‘am ayat 126 - الأنعَام - Page - Juz 8
﴿وَهَٰذَا صِرَٰطُ رَبِّكَ مُسۡتَقِيمٗاۗ قَدۡ فَصَّلۡنَا ٱلۡأٓيَٰتِ لِقَوۡمٖ يَذَّكَّرُونَ ﴾
[الأنعَام: 126]
﴿وهذا صراط ربك مستقيما قد فصلنا الآيات لقوم يذكرون﴾ [الأنعَام: 126]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na haya tuliliyokubainishia, ewe Mtume, ndio njia inayofikisha kwenye radhi za Mola Wako na Pepo Yake. Tumezifunua wazi hoja kwa yule anayekumbuka miongoni mwa wenye akili zilizokomaa |