Quran with Swahili translation - Surah Al-An‘am ayat 134 - الأنعَام - Page - Juz 8
﴿إِنَّ مَا تُوعَدُونَ لَأٓتٖۖ وَمَآ أَنتُم بِمُعۡجِزِينَ ﴾
[الأنعَام: 134]
﴿إن ما توعدون لآت وما أنتم بمعجزين﴾ [الأنعَام: 134]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika yale mateso ambayo Anawaahidi nayo Mola wenu, enyi washirikina, kwa ukafiri wenu, ni yenye kuwapata. Na hamutamlemea Mola wenu kwa kumkimbia. Kwani Yeye ana uwezo wa kuwarudisha, hata kama mtakuwa mumegeuka mumekuwa mchanga na mifupa |