Quran with Swahili translation - Surah Al-An‘am ayat 156 - الأنعَام - Page - Juz 8
﴿أَن تَقُولُوٓاْ إِنَّمَآ أُنزِلَ ٱلۡكِتَٰبُ عَلَىٰ طَآئِفَتَيۡنِ مِن قَبۡلِنَا وَإِن كُنَّا عَن دِرَاسَتِهِمۡ لَغَٰفِلِينَ ﴾
[الأنعَام: 156]
﴿أن تقولوا إنما أنـزل الكتاب على طائفتين من قبلنا وإن كنا عن﴾ [الأنعَام: 156]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na tumeiteremsha hii Qur’ani, ili msije mkasema, enyi makafiri wa Kiaarabu, «Hakika Kitabu kutoka mbinguni waliteremshiwa Mayahudi na Wanaswara; na sisi tuna mambo ya kutushughulisha kutowahi kuvisoma vitabu vyao; na sisi hatuna ujuzi navyo wala maarifa.» |