×

Hakika walio igawa Dini yao na wakawa makundi makundi, huna ukhusiano nao 6:159 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-An‘am ⮕ (6:159) ayat 159 in Swahili

6:159 Surah Al-An‘am ayat 159 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-An‘am ayat 159 - الأنعَام - Page - Juz 8

﴿إِنَّ ٱلَّذِينَ فَرَّقُواْ دِينَهُمۡ وَكَانُواْ شِيَعٗا لَّسۡتَ مِنۡهُمۡ فِي شَيۡءٍۚ إِنَّمَآ أَمۡرُهُمۡ إِلَى ٱللَّهِ ثُمَّ يُنَبِّئُهُم بِمَا كَانُواْ يَفۡعَلُونَ ﴾
[الأنعَام: 159]

Hakika walio igawa Dini yao na wakawa makundi makundi, huna ukhusiano nao wowote. Bila ya shaka shauri yao iko kwa Mwenyezi Mungu; kisha atawaambia yale waliyo kuwa wakiyatenda

❮ Previous Next ❯

ترجمة: إن الذين فرقوا دينهم وكانوا شيعا لست منهم في شيء إنما أمرهم, باللغة السواحيلية

﴿إن الذين فرقوا دينهم وكانوا شيعا لست منهم في شيء إنما أمرهم﴾ [الأنعَام: 159]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hakika wale walioigawanya dini yao, baada ya kuwa mkusanyiko mmoja juu ya kumpwekesha Mwenyezi Mungu na kufuata sheria Yake kivitendo, wakawa ni makundi na mapote, wewe, ewe Mtume, uko mbali na wao. Hukumu yao iko kwa Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, kisha Yeye Atawapa habari za matendo yao, Amlipe aliyetubia miongoni mwao na akafanya wema, kwa wema wake na Amtese mtenda maovu kwa uovu wake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek