×

Siku hiyo yule atakaye epushwa nayo adhabu hiyo atakuwa Mwenyezi Mungu amemrehemu. 6:16 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-An‘am ⮕ (6:16) ayat 16 in Swahili

6:16 Surah Al-An‘am ayat 16 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-An‘am ayat 16 - الأنعَام - Page - Juz 7

﴿مَّن يُصۡرَفۡ عَنۡهُ يَوۡمَئِذٖ فَقَدۡ رَحِمَهُۥۚ وَذَٰلِكَ ٱلۡفَوۡزُ ٱلۡمُبِينُ ﴾
[الأنعَام: 16]

Siku hiyo yule atakaye epushwa nayo adhabu hiyo atakuwa Mwenyezi Mungu amemrehemu. Na huko ndiko kufuzu kulio wazi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: من يصرف عنه يومئذ فقد رحمه وذلك الفوز المبين, باللغة السواحيلية

﴿من يصرف عنه يومئذ فقد رحمه وذلك الفوز المبين﴾ [الأنعَام: 16]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Yule ambaye Mwenyezi Mungu Amemuepushia adhabu kali hiyo, basi Amemrehemu. Kuepushwa huko ndiko kufaulu kuliko wazi kwa kuokolewa na adhabu kubwa
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek