×

Basi walipo sahau walio kumbushwa tuliwafungulia milango ya kila kitu. Mpaka walipo 6:44 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-An‘am ⮕ (6:44) ayat 44 in Swahili

6:44 Surah Al-An‘am ayat 44 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-An‘am ayat 44 - الأنعَام - Page - Juz 7

﴿فَلَمَّا نَسُواْ مَا ذُكِّرُواْ بِهِۦ فَتَحۡنَا عَلَيۡهِمۡ أَبۡوَٰبَ كُلِّ شَيۡءٍ حَتَّىٰٓ إِذَا فَرِحُواْ بِمَآ أُوتُوٓاْ أَخَذۡنَٰهُم بَغۡتَةٗ فَإِذَا هُم مُّبۡلِسُونَ ﴾
[الأنعَام: 44]

Basi walipo sahau walio kumbushwa tuliwafungulia milango ya kila kitu. Mpaka walipo furahia yale waliyo pewa tuliwashika kwa ghafla, na mara wakawa wenye kukata tamaa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فلما نسوا ما ذكروا به فتحنا عليهم أبواب كل شيء حتى إذا, باللغة السواحيلية

﴿فلما نسوا ما ذكروا به فتحنا عليهم أبواب كل شيء حتى إذا﴾ [الأنعَام: 44]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Basi walipoacha kufuata amri za Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, kwa kuzipa mgongo, tuliwafungulia milango ya kila kitu miongoni mwa riziki, ndipo tukawabadilishia shida kwa kuwapa raha ya maisha, na tukawabadilishia magonjwa kwa kuwapa uzima wa miili, kwa kuwavuta kidogo kidogo. Hata watakapofanya kiburi na wakajiona kwa mema na neema tulizowapa, tutawashushia adhabu ya ghafla, wakitahamaki watajikuta wamekata tamaa wamekatika na kila zuri
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek