Quran with Swahili translation - Surah Al-Munafiqun ayat 11 - المُنَافِقُونَ - Page - Juz 28
﴿وَلَن يُؤَخِّرَ ٱللَّهُ نَفۡسًا إِذَا جَآءَ أَجَلُهَاۚ وَٱللَّهُ خَبِيرُۢ بِمَا تَعۡمَلُونَ ﴾
[المُنَافِقُونَ: 11]
﴿ولن يؤخر الله نفسا إذا جاء أجلها والله خبير بما تعملون﴾ [المُنَافِقُونَ: 11]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wala Mwenyezi Mungu hatoichelewesha nafsi yoyote utakapokuja wakati wa kifo chake na umri wake ukakoma. Na Mwenyezi Mungu, kutakasika na kila sifa ya upungufu ni Kwake, ni mtambuzi wa yale mnayoyatenda: mema na mabaya, na Awetawalipa nyinyi kwa hayo |