Quran with Swahili translation - Surah Al-Mulk ayat 12 - المُلك - Page - Juz 29
﴿إِنَّ ٱلَّذِينَ يَخۡشَوۡنَ رَبَّهُم بِٱلۡغَيۡبِ لَهُم مَّغۡفِرَةٞ وَأَجۡرٞ كَبِيرٞ ﴾
[المُلك: 12]
﴿إن الذين يخشون ربهم بالغيب لهم مغفرة وأجر كبير﴾ [المُلك: 12]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika wale wanaomuogopa Mola wao, wakamuabudu na wasimuasim na hali wako mbali na macho ya watu na wanaiogopa adhabu ya Akhera kabla hawajaiona, watapata msamaha wa dambi zao katoka kwa Mwenyezi Mungu na malipo mema makubwa ambayo ni Pepo |