Quran with Swahili translation - Surah Al-Mulk ayat 11 - المُلك - Page - Juz 29
﴿فَٱعۡتَرَفُواْ بِذَنۢبِهِمۡ فَسُحۡقٗا لِّأَصۡحَٰبِ ٱلسَّعِيرِ ﴾
[المُلك: 11]
﴿فاعترفوا بذنبهم فسحقا لأصحاب السعير﴾ [المُلك: 11]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hivyo basi wakakubali kukanusha kwao na kukufuru kwao kulikowafanya wastahili adhabu ya Moto. Basi kuwa mbali na rehema ya Mwenyezi Mungu ni kwa watu wa Motoni |