Quran with Swahili translation - Surah Al-Mulk ayat 27 - المُلك - Page - Juz 29
﴿فَلَمَّا رَأَوۡهُ زُلۡفَةٗ سِيٓـَٔتۡ وُجُوهُ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ وَقِيلَ هَٰذَا ٱلَّذِي كُنتُم بِهِۦ تَدَّعُونَ ﴾
[المُلك: 27]
﴿فلما رأوه زلفة سيئت وجوه الذين كفروا وقيل هذا الذي كنتم به﴾ [المُلك: 27]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Watakapoiona makafiri adhabu ya Mwenyezi Mungu ikiwa iko karibu nao na wakaishuhudia, utajitokeza unyonge na unguliko kwenye nyuso zao na waambiwe, kwa njia ya kuwalaumu na kuwakaripia, «Hii ndiyo ile mliokuwa mkitaka iharakishwe ulimwenguni.» |