×

Siku utakapo wekwa wazi mundi, na wataitwa kusujudu, lakini hawataweza 68:42 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Qalam ⮕ (68:42) ayat 42 in Swahili

68:42 Surah Al-Qalam ayat 42 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Qalam ayat 42 - القَلَم - Page - Juz 29

﴿يَوۡمَ يُكۡشَفُ عَن سَاقٖ وَيُدۡعَوۡنَ إِلَى ٱلسُّجُودِ فَلَا يَسۡتَطِيعُونَ ﴾
[القَلَم: 42]

Siku utakapo wekwa wazi mundi, na wataitwa kusujudu, lakini hawataweza

❮ Previous Next ❯

ترجمة: يوم يكشف عن ساق ويدعون إلى السجود فلا يستطيعون, باللغة السواحيلية

﴿يوم يكشف عن ساق ويدعون إلى السجود فلا يستطيعون﴾ [القَلَم: 42]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Siku ya Kiyama, mambo yatakuwa magumu na kituko chake kitakuwa kikubwa, na hapo Mwenyezi Mungu Aje ili kutoa uamuzi baina ya viumbe, Afunue muundi Wake usiofanana na kitu chochote. Amesema, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, «Atafunua Mola wetu muundi Wake, hapo amsujudie kila mwanamume aliyeamini na mwanamke aliyeamini, na atasalia yule aliyekuwa akisujudu duniani kwa kujionesha na kusikika, aende kusujudu na mgongo wake ugeuke kuwa mfupa mmoja.» Imepokewa na Bukhari na Muslim
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek