×

Kama isingeli mfikia neema kutoka kwa Mola wake Mlezi, bila ya shaka 68:49 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Qalam ⮕ (68:49) ayat 49 in Swahili

68:49 Surah Al-Qalam ayat 49 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Qalam ayat 49 - القَلَم - Page - Juz 29

﴿لَّوۡلَآ أَن تَدَٰرَكَهُۥ نِعۡمَةٞ مِّن رَّبِّهِۦ لَنُبِذَ بِٱلۡعَرَآءِ وَهُوَ مَذۡمُومٞ ﴾
[القَلَم: 49]

Kama isingeli mfikia neema kutoka kwa Mola wake Mlezi, bila ya shaka angeli tupwa ufukweni naye ni mwenye kulaumiwa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: لولا أن تداركه نعمة من ربه لنبذ بالعراء وهو مذموم, باللغة السواحيلية

﴿لولا أن تداركه نعمة من ربه لنبذ بالعراء وهو مذموم﴾ [القَلَم: 49]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
lau si yeye kufikiwa na neema ya Mola Wake kwa kumwafikia kutubia, angalitupwa chini, kutoka tumboni mwa chewa, kwenye ardhi kavu yenye kuangamiza, na hali amefanya jambo la kulaumiwa
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek