Quran with Swahili translation - Surah Al-haqqah ayat 24 - الحَاقة - Page - Juz 29
﴿كُلُواْ وَٱشۡرَبُواْ هَنِيٓـَٔۢا بِمَآ أَسۡلَفۡتُمۡ فِي ٱلۡأَيَّامِ ٱلۡخَالِيَةِ ﴾
[الحَاقة: 24]
﴿كلوا واشربوا هنيئا بما أسلفتم في الأيام الخالية﴾ [الحَاقة: 24]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wataambiwa, «Kuleni na mnyweni kila aina ya vyakula na vinywaji, mkiwa mbali na kila kero, mkiwa mmesalimika na kila mnalolichukia, kwa sababu ya matendo mema mliyoyatanguliza siku za ulimwenguni.» |