×

Wala hatukuwaona wengi wao kuwa wanatimiza ahadi; bali kwa hakika tuliwakuta wengi 7:102 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-A‘raf ⮕ (7:102) ayat 102 in Swahili

7:102 Surah Al-A‘raf ayat 102 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 102 - الأعرَاف - Page - Juz 9

﴿وَمَا وَجَدۡنَا لِأَكۡثَرِهِم مِّنۡ عَهۡدٖۖ وَإِن وَجَدۡنَآ أَكۡثَرَهُمۡ لَفَٰسِقِينَ ﴾
[الأعرَاف: 102]

Wala hatukuwaona wengi wao kuwa wanatimiza ahadi; bali kwa hakika tuliwakuta wengi wao ni wapotofu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وما وجدنا لأكثرهم من عهد وإن وجدنا أكثرهم لفاسقين, باللغة السواحيلية

﴿وما وجدنا لأكثرهم من عهد وإن وجدنا أكثرهم لفاسقين﴾ [الأعرَاف: 102]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na hatukuwapata wengi wa watu waliopita kuwa wana uaminifu wala utekelezaji ahadi, na hatukuwapata wengi wao isipokuwa ni watokaji nje ya utiifu wa Mwenyezi Mungu na ufuataji amri Yake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek