Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 108 - الأعرَاف - Page - Juz 9
﴿وَنَزَعَ يَدَهُۥ فَإِذَا هِيَ بَيۡضَآءُ لِلنَّٰظِرِينَ ﴾
[الأعرَاف: 108]
﴿ونـزع يده فإذا هي بيضاء للناظرين﴾ [الأعرَاف: 108]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na akauvuta mkono wake kutoka kwenye uwazi wa kanzu iliyofunguliwa kifuani au chini ya kapwa lake, na papo hapo ukawa mweupe kama maziwa usio na mbalanga, ukiwa ni alama kwa Fir'awn; akiurejesha unarudi rangi yake ya mwanzo, kama ulivyo mwili wake |