×

Nasi tukamfunulia Musa kumwambia: Tupa fimbo yako. Mara ikavimeza vyote vile walivyo 7:117 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-A‘raf ⮕ (7:117) ayat 117 in Swahili

7:117 Surah Al-A‘raf ayat 117 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 117 - الأعرَاف - Page - Juz 9

﴿۞ وَأَوۡحَيۡنَآ إِلَىٰ مُوسَىٰٓ أَنۡ أَلۡقِ عَصَاكَۖ فَإِذَا هِيَ تَلۡقَفُ مَا يَأۡفِكُونَ ﴾
[الأعرَاف: 117]

Nasi tukamfunulia Musa kumwambia: Tupa fimbo yako. Mara ikavimeza vyote vile walivyo vibuni

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وأوحينا إلى موسى أن ألق عصاك فإذا هي تلقف ما يأفكون, باللغة السواحيلية

﴿وأوحينا إلى موسى أن ألق عصاك فإذا هي تلقف ما يأفكون﴾ [الأعرَاف: 117]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hapo Mwenyezi Mungu Alimletea wahyi mja Wake na Mtume Wake Mūsā, amani imshukiye, katika kisimamo hicho kikubwa ambacho hapo Mwenyezi Mungu Alipambanua baina ya ukweli na urongo, akimuamuru akitupe kilichoko kwenye mkono wake wa kulia, nacho ni fimbo yake. Akaitupa na papo hapo ikawa inavimeza vile wanavyovitupa na kuwafanya watu wadhanie kuwa ni vya kweli na ilhali ni vya urongo
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek