Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 174 - الأعرَاف - Page - Juz 9
﴿وَكَذَٰلِكَ نُفَصِّلُ ٱلۡأٓيَٰتِ وَلَعَلَّهُمۡ يَرۡجِعُونَ ﴾
[الأعرَاف: 174]
﴿وكذلك نفصل الآيات ولعلهم يرجعون﴾ [الأعرَاف: 174]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kama tulivyozipambanua hizo aya na tukaeleza ndani yake tulichowafanyia watu waliopita, ndivyo tunavyozipambanua aya na kuzieleza kwa watu wako, ewe Mtume, kwa kutazamia kwamba watarudi waache ushirikina wao na warajee kwa Mola wao |