Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 192 - الأعرَاف - Page - Juz 9
﴿وَلَا يَسۡتَطِيعُونَ لَهُمۡ نَصۡرٗا وَلَآ أَنفُسَهُمۡ يَنصُرُونَ ﴾
[الأعرَاف: 192]
﴿ولا يستطيعون لهم نصرا ولا أنفسهم ينصرون﴾ [الأعرَاف: 192]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wala hawawezi kuwanusuru wenye kuwaabudu au kuzilinda nafsi zao na ubaya. Iwapo wao hawaumbi kitu, bali wao wameumbwa na hawawezi kuwalinda wanaowaabudu, wasipatikane na mambo wanayoyachukia, wala kuzilinda nafsi zao. Basi vipi wanafanywa ni waungu? Huu haukuwa isipokuwa ni upeo wa udhalimu na upeo wa uchache wa akili |