Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 191 - الأعرَاف - Page - Juz 9
﴿أَيُشۡرِكُونَ مَا لَا يَخۡلُقُ شَيۡـٔٗا وَهُمۡ يُخۡلَقُونَ ﴾
[الأعرَاف: 191]
﴿أيشركون ما لا يخلق شيئا وهم يخلقون﴾ [الأعرَاف: 191]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Je, washirikina hawa wawashirikisha viumbe vya Mwenyezi Mungu katika ibada ya Mwenyezi Mungu, hali washirikishwa hao hawawezi kuumba chochote, bali wao wameumbwa |