Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 200 - الأعرَاف - Page - Juz 9
﴿وَإِمَّا يَنزَغَنَّكَ مِنَ ٱلشَّيۡطَٰنِ نَزۡغٞ فَٱسۡتَعِذۡ بِٱللَّهِۚ إِنَّهُۥ سَمِيعٌ عَلِيمٌ ﴾
[الأعرَاف: 200]
﴿وإما ينـزغنك من الشيطان نـزغ فاستعذ بالله إنه سميع عليم﴾ [الأعرَاف: 200]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na iwapo utashikwa na hasira, ewe Nabii, zitokazo kwa Shetani au ukahisi, kutoka kwake, wasiwasi au ulegevu wa kufanya mema au himizo la kufanya ovu, basi tafuta himaya kwa Mola wako kwa kujilinda Kwake. Kwani Yeye ni Msikizi wa kila neno ni Mjuzi wa kila kitendo |