Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 199 - الأعرَاف - Page - Juz 9
﴿خُذِ ٱلۡعَفۡوَ وَأۡمُرۡ بِٱلۡعُرۡفِ وَأَعۡرِضۡ عَنِ ٱلۡجَٰهِلِينَ ﴾
[الأعرَاف: 199]
﴿خذ العفو وأمر بالعرف وأعرض عن الجاهلين﴾ [الأعرَاف: 199]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kubali, ewe Nabii, wewe na wafuasi wako kiwango cha kati cha tabia za watu na vitendo vyao, wala usitake kutoka kwao mambo magumu ili wasije wakachukia; na amrisha kwa kila neno jema na kitendo kizuri; na jiepushe na kushindana na mafidhuli na usijisawazishe na wajinga wenye uchache wa akili |